Origin: Unknown
Use: Haka kanjumu ka kwako ni kadonye = Your shoes are so small
Period: Unknown
Synonyms: Pienga
Pronounciation: (Verb) [ kah-doh-nye ]
History: Derived from the swahili word ''kadogo'' meaning ''small''
No replies yet. Start the conversation.
Ati uligongwa na gari ya TRUST instead ya kuumia ukanyonji
Dogi yenyu mzee mpaka kauzi aki'come,yumtemea mate
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta
Una kichwa kubwa mpaka dream zako zushow in dolby surround.
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.