Origin: Unknown
Use: Roundi hii usule kabuda siame omoka = This time round that guy he is loaded with chumz.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Kaa-buu-daa ]
Relate: Buuda Morio Beste Bazenga Mzae Mzeiya
History: Derived from swahili word 'BABA' wich means 'FATHER'
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu