Origin: Unknown
Use: Unatafuta Jonny utampata akiwa ame poa base = Looking for john he is at the usualy hanging sport
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ Ka-ah-be-ez ]
Relate: Juu ya mawe Juu ya dimanga Juu ya goton
History: Derived from swahili and english words in swahili 'KAA' means 'SEAT' while 'BASE' is in english
No replies yet. Start the conversation.
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta
nasikia uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
Balls zako bigi sana mpaka ukipiga shower unaziweka kwa rack zikauke
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi