Origin: CBD
Use: Kesho utanipata nikiwa nime kaa area = Tomorow you will find at my hanging spot
Period: Early 90's
Pronounciation: (Noun) [ Ka-ah-ee-re-aah ]
Relate: Juu ya mawe Juu ya dimanga juu ya goton
History: Derived from swahili and english words
No replies yet. Start the conversation.
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes