Origin: Unknown
Use: Tangu ni made chuo najiskia poa. = Since i cleared with school i feel good.
Period: Unknown
Synonyms:
Pronounciation: (Adverb) [ Jee-si-kee-ah ]
Relate: Happiness, Excitement, Synonyms: Haire, Mbulai
History: The word jisikia in swahili it means to listen to yourself but, in sheng its a feeling.
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist