Origin: Unknown
Use: Ule anajidai nahuyo manzi yake na ni fukuru = That guy he is boosting with his chick and she is a prostitute.
Period: Unknown
Synonyms: Jiskia
Pronounciation: (Verb) [ Jee-da-eeh ]
Relate: Brag
History: Derived from swahili word 'JIDAI'
No replies yet. Start the conversation.
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1