Origin: Unknown
Use: Onyi ni msee mjanjes = Onyango is someone creative
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Verb) [ jah-n-jes ]
Relate: Chanuka Vutisha aerial Changamka
History: Derived from the swahili word ''mjanja'' meaning ''someone creative or a sly person
No replies yet. Start the conversation.
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
Wewe ni fala unarewind CD na biro pen