Origin: Unknown
Use: Graffiti ziko kwa ile dinga ilichorwa na janje = The graffiti on that car was drawn by someone creative
Period: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Jah-njeh ]
History: Derived from the swahili word ''mjanja''
No replies yet. Start the conversation.
We ni mweusi hadi mbu ikitaka kukuuma yo huitisha torch
Ati naskia shosh yako ni mzee hadi anapigwa shock na Moshi ya ugali 😂😂
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted