Origin: Unknown
Use: Ukipoa na mimi nita kujanjarua = If you stick with me i will enlighten you
Period: Unknown
Synonyms: Shanora
Pronounciation: (Verb) [ Ja-nja-roo-ah ]
Relate: Mjanja Janje Janjes Mnoma
History: Derived from the swahili word 'MJANJA' meaning 'SOMEONE SKILLFULL'
No replies yet. Start the conversation.
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu