Origin: jeri
Use: Mimi hulipa ikongo hadi home = I pay ten shillings up to my place
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ eh-ko-ngo ]
Variations: Kongo,
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi