wee ni mnono hadi ukikalia novel zinakuwa short stories!
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Breathe yako sumu ukiyawn asubuhi jogoo hudedi
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut