ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa