Origin: Uknown
Use: Toma ameingia kwa hao tu saa hii.= Thomas has entered the house just right now
Period: Uknown
Synonyms: Mbanyu, Keja, Dau, Dawi, Dangulo
Pronounciation: (Noun) [ Ha-ooh ]
History: Derived from the English word House
No replies yet. Start the conversation.
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.