Origin: Unknown
Use: Tumelipa hando kuingia tao = We've paid a hundred (shillings) as fare into town
Period: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ hah-n-doh ]
Relate: Money
History: A contraction of the English word, HUNDRED
Clarification: Not to be confused with the Sheng Word, Handa which can either mean underwear or to make noise at,
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon