Origin: Unknown
Use: Uko na gwenda kali = You have some nice shoes
Period: Early 2000
Synonyms: Ndula Kanyangi Chuja Teke
Pronounciation: (Noun) [ G-we-n-da ]
Relate: Cladi Olipo Toja Jale Mng'aro
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
unakichwa bigi hadi ukidream unadream 7 in 1
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi