Origin: Unknown
Use: Manzi wa Devi anatoka gicha moro. = Davy's girlfriend is returning from upcountry tomorrow.
Period: Late 80's
Pronounciation: (Verb) [ gee-cha ]
History: From Kikuyu word Gecagi.
No replies yet. Start the conversation.
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Unamdomo bigi we hukula avocado kama njugu
We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow "Good evening?"
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu