Origin: Uknown
Use: 1 .Leo naenda kunywa gauge. = Today i am going to drink. 2 . Jana nilikuwa gauge. = I was drunk yesterday.
Period: Late 90's
Synonyms: Muwako, Keroro, Chingiri, Tei, Maji
Pronounciation: (Verb) [ Ge-eehj ]
Relate: Alcohol
Variations: Gej
History: Originated from the english word "Gauge".
No replies yet. Start the conversation.
Umezoea kutumia wasee please call me mpaka ukipress *130* simu ukutolea phone book ujichagulie.
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga