Search
Origin: Unknown
Use: Ma terrorist walikuwa Waste Gate waliangushwa na wadhii gas = The terrorist who were at the waste gate were killed by tough people.
Period: Early 2000
Synonyms: Noma Otero
Pronounciation: (Verb) [ ga-as ]
Relate: Unoma Udeadly Upro
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
We ni mkonde hadi ukiegemea ukuta inaonekana ni kama Kuna crack.
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao