Origin: Unknown
Use: Nilipoteza ganji jana = I lost some money yesterday
Period: Mid 70's
Synonyms: Munde Mkwanja Dough Kwacha Monyo Dala Chapaa Banga Kakitu
Pronounciation: (Noun) [ ga-njee ]
Variations: Ganjee,
No replies yet. Start the conversation.
We m-ugly, ulipokuwa mtoi masako alikufeed na feya
Maskio kama mlango ya probox
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted
kwenu nyinyi ni wezi hadi Ali baba and the 40 thieves walikam attacho kwenu.
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!