Origin: Unknown
Use: Ule mode zake zina waga zime fyetuka nini? = That teacher his brain is crazy or what?
Period: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Fye-tu-kaah ]
Relate: Lunatic
Variations: Fiatuka,,
History: Derived from the swahili word meaning
No replies yet. Start the conversation.
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Asubuhi asubuhi makaa na maji ya sukuma
Wewe ni mgreedy mpaka mother-ko akiwa na ball yako akipika chapo siku moja, ulichomoa mkono ukasema "nigeee!"
Ngozi ya nyanyako ni tight mpaka aki wink, mguu yake inainuka
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!