Origin: Unknown
Use: Wewe ndiye ume mada wa fotho = You are the one who has finished fourth
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ foh-tho ]
History: Originated from the English word '' Fourth''
No replies yet. Start the conversation.
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela
We ni mzee Hadi ukifanya 180 unahara bluband.
Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo