Wewe ni mgreedy mpaka mother-ko akiwa na ball yako akipika chapo siku moja, ulichomoa mkono ukasema "nigeee!"
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Mathako mnono akikalia kobole Moi hutoa makamasi
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
Asubuhi Asubuhi kokoto na kumi kumi