Origin: Unknown
Use: Sina mkwanja ya kutosha flight mtaani = I don't have enough cash for my fare going home
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ f-lah-ee-t ]
Relate: Transport
History: Borrowed from the English word, Flight
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mjinga… mpaka ulirepeat kunyonya.
Umezoea kutumia wasee please call me mpaka ukipress *130* simu ukutolea phone book ujichagulie.
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
nasikia weni mweusi hadi una aribia makka fashion