Origin: Unknown
Use: fathe wa Mike ni mgwan! = Mike's dad is bad news
Period: Unknown
Synonyms: Mbuyu Buda Bazenga Mdosi Mzae
Pronounciation: (Noun) [ fah-dhe ]
Variations: -,
History: Derived from the English word ''Father''
No replies yet. Start the conversation.
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
Ati uligongwa na gari ya TRUST instead ya kuumia ukanyonji
Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
kwenu ni ocha sana hadi sms ikifika unaipanguza vumbi