Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Asubuhi asubuhi mapera na maziwa ya nguruwe
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela