Origin: Unknown
Use: Ni dwanzi ndio maana yeye huwa lanyo daro = He is a fool thats why he is always the last in class
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ Dwah- nzii ]
Variations: Duanzi,
No replies yet. Start the conversation.
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa
msee ni mweusi hadi difference yake na midnight ni 11:59.
auna nywele mbaka ukienda Kwa kinyozi una ambiwa boss atu nyoi matako
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya