We ni mkonde hadi ukiegemea ukuta inaonekana ni kama Kuna crack.
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
Asubuhi Asubuhi kokoto na kumi kumi
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
wewe ni mweusi mpaka wameandika “scratch to reveal” kwa I.D yako