Origin: Unknown
Use: Naenda ku duf kwa maji = I am going to dive in the water
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Duff ]
Variations: Doof,
History: Originated from the english word
No replies yet. Start the conversation.
First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakipea ya green ukasema nope ile imeiva
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
huyu chali ni fala mara yake ya kwanza kumwaga alienda kwa doctor akidaisha nini yake ina homa