Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
Umezoea kutumia wasee please call me mpaka ukipress *130* simu ukutolea phone book ujichagulie.
Ati wewe ni mweusi hadi huwezi kuwa na a BRIGHT idea.
Asubuhi asubuhi koo na omena