Origin: Unknown
Use: Huyo ni nani amesimama hapo dieres = Who is that standing in the middle
Period: Unknown
Synonyms: Kato
Pronounciation: (Verb) [ dee-eh-res ]
Relate: Position
History: Originated from the Luo community meaning ''center or the middle''
No replies yet. Start the conversation.
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
ety ww n mrefu Hadi unagotea mungu
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic