Origin: Unknown
Use: Mtaani hakuna dhande = At home their is no electricity
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Adjective) [ Dha-nde ]
Relate: 1>Mulika 2>Mangana Dinyana Sexuana
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
Una mkono rough hadi ukishika mouse, computer inadai found new hardware.
wewe ni mweusi mpaka wameandika “scratch to reveal” kwa I.D yako
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
Kwenu mko wengi hata mkienda dining room mnaingia na gate pass