Search
Origin: Easich
Use: dabus wa kwako ni fyat - your father is crazy
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ daa-buu-ss ]
Relate: mzae buda sonko
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mjinga… mpaka ulirepeat kunyonya.
uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa
ety ww n mrefu Hadi unagotea mungu