Origin: Ofafa Marish
Use: Hii chwakire yako ni ndogo = Your head is so small
Period: Late 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Chwa-ke-re ]
History: Derived from swahili word 'KICHWA'
No replies yet. Start the conversation.
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
Wewe ni mgreedy mpaka mother-ko akiwa na ball yako akipika chapo siku moja, ulichomoa mkono ukasema "nigeee!"
Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear