Maureen Wanjiku
@maureen_wanjiku
·
tekee
Origin: Uknown
Use: Naskia kuna msee wa Bungoma ame marry chuti = I hear that the is someone from Bungoma has married an Indian
Period: Uknown
Synonyms:
Pronounciation: (Verb) [ Chuu-tii ]
tekee
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy
Breathe yako sumu ukiyawn asubuhi jogoo hudedi
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!