Origin: Unknown
Use: Wale waresh wawili wamepitia hiyo chuom = The two ladies have gone through that alley.
Period: Mid 90's
Synonyms: Mpenyo
Pronounciation: (Noun) [ Chu-om ]
Variations: Chwom,,
No replies yet. Start the conversation.
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao
ATI we ni mkonde Hadi una miss mvua
Mapua zako bigi, ukingia class charts zinaanza kudunda
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu