Origin: Unknown
Use: 1.Nare yetu ime chujwa = Our lights have been cut off 2. Prinsi ame tuchuja chuo = The principal has sent us off the school
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Choo-jaah ]
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!