Origin: K-South
Use: Kachonjo uki ingia kwa hiyo gari = Be alert when you board that car
Period: Early 80's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Cho-njoh ]
History: Derived from the swahili word
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu