Origin: -
Use: Jeff alitu chomea wire kwa hedi! = Jeff sold us out to the headmaster!
Period: Unknown,
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ cho-mea wa-ya ]
History: Typical sheng style of using situations to describe events. This literally means "burning wire" ... like that of a fuse wire
No replies yet. Start the conversation.
nyumba yenu imetengenezwa na matope.
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
Una incisors ndefu adi ukisneeze unajichimba kifua
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma