Origin: Unknown
Use: Jaymo ana ji chocha na huyo dame! = James has the hots for that babe
Period: Late 90's
Synonyms: Moto
Pronounciation: (Verb) [ cho-cha ]
Relate: Stimulate
History: From Swahili word "Chochea" which means to incite against
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
ASUBUHI ASUBUHI githeri na colgate.
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua