Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
Mathako ni mshamba mpaka the first time alipanda mathree alitandika vitambaa
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!