Maureen Wanjiku
@maureen_wanjiku
·
mzito
Origin: Uknown
Use: Rudisha ndio ali manage kuwa champee wa mbio za soo nane = Rudisha managed to emerge the winner of eight hundred meter
Period: Mid 90's
Synonyms: Otero,
Pronounciation: (Verb) [ Cha-m-peeh ]
History: Originated from the original word ''CHAMPION'
mzito
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke