Origin: -
Use: Kina Sheila wana cheza cha baba na cha mama = Sheila and friends are playing house
Period: Unknown,
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ cha-ba-ba ]
History: "Cha baba" is a contraction of "Cha baba na mama" ... literally "of father and mother". A game where the aim was to simulate house happenings
No replies yet. Start the conversation.
First time yako ku-buy ball gum shopkeeper alikugei ya green ukasema 'nataka ile imeiva'
Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi
wee ni mnono hadi ukikalia novel zinakuwa short stories!
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.