Origin: Unknown
Use: Ma CD za mine kozi piwa? = Where are my condoms?
Period: Late 70's
Pronounciation: (Noun) [ Siih-dii ]
Relate: Msedes Kei Senye Nyap Nalinga Abdalla
History: Derived from C>onD>om
No replies yet. Start the conversation.
auna nywele mbaka ukienda Kwa kinyozi una ambiwa boss atu nyoi matako
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Manzi wako ni mtall mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Mapua zako bigi, ukingia class charts zinaanza kudunda