Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Ati siz yako ni mnono mpaka chali yake humshow ‘u r 2 in a million.
Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool
eti uko so shy hadi gotha yako iko na collar