Origin: Unknown
Use: Na raundi this Stesh akona bum bwaku = Nowadays Stella has big buttocks
Period: Unknown
Synonyms: Kunyi Duba Rasa Tanye Nanga
Pronounciation: (Noun) [ Baah-m ]
Variations: -,
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
nasikia uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
Kwenu mko wengi hata mkienda dining room mnaingia na gate pass
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma