Origin: Unknown
Use: braza wa mine ni fala sana = My brother is very stupid
Period: Mid 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ bra-za ]
Variations: -,
History: From English word Brother
No replies yet. Start the conversation.
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis
Maskio kama mlango ya probox
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!