Search
Origin: Unknown
Use: Bonga na antidhes akuwahi ganji = Talk to your aunt she gives you money
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ bo-nga ]
Relate: Yapyap pararira
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Asubuhi Asubuhi kokoto na kumi kumi
wewe ni msupa tu sana
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes