Origin: Unknown
Use: Huyo mbois ana biz noma sana! = That guy has a good business
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Noun) [ beez ]
Variations: -,
History: From American Slang for Business
No replies yet. Start the conversation.
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.