Search
Origin: Unknown
Use: buda amekua bani na dinga yake - dada has become mean/selfish with his car
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ baa-niii ]
Relate: razi mtiaji
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
ati we ni mkonde Hadi una miss mvua
wewe ni msupa tu sana
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
UKo na macho kubwa hadi wewe huitwa eye witness