Origin: Unknown
Use: Ule thegi ali bambwa = That thief got caught. Uski nimebambwa sana na hiyo simu yako! = I really like your phone.
Period: Early 80's
Synonyms: Marwa, Jazika, Angukiwa.
Pronounciation: (Verb) [ bam-bwa ]
Relate: Arrest, Excitement
No replies yet. Start the conversation.
We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
auna nywele mbaka ukienda Kwa kinyozi una ambiwa boss atu nyoi matako